Hivi Rais Samia yuko serious kweli katika kuunda Kamati Maalumu ya Corona? Mbona haoneshi mfano wa kutilia maanani ugonjwa huu?

Eti mtu unang'ang'aninia kwamba una tatizo!

Nampa pongezi biti Hassan(shikamoo) popote pale alipo.Baada ya kuona wanamtilia kelele akatangaza anaunda kamati ichunguze kama ipo au haipo...
We nae endelea kulima majaruba ya mpunga kama unavyo sema,uwezekano wa kuchezea tope na kuibuka na mfadhaiko wa akili ni mkubwa sana,na ndio maana sikushangai kuandika hivyo.

1. ATC wamesimamisha safari za kwenda India
2. Muongozo uliotolewa na wizara ya afya,na kwamba vituo vya karantini vimefunguliwa hujasikia?
3. Mama anavaa barakoa mwenda zake ulimuona hata siku moja?

Ni kweli kwamba binaadamu akizoezwa jambo hana tofauti na mnyama atalidai hata kama ni baya,kwa hiyo wewe kudai kuendelea kudanganywa ni taathira ya muda mrefu.
 
  1. Kwa kuunda tume-Binti hassan ameonyesha kuwa kuna tatizo
  2. Kwa kutoa travel adisory note-Binti Hassan amekubali kushirikiana na wengine
  3. Kwa kutokuhamasisha ufukizaji na makandokando yake-Binti Hassan ameonyesha kulikabili janga kisayansi zaidi.
 
Kama una akili utagundua covid imekua ikiibuka mwezi wa kumi nakupungua toward March. Usidharau ule ugonjwa chief
 
Umeshaliwa kichwa
 
Hahahaaaaaa tumpe muda ,inawezekana yaliyokutikana huko kwenye hayo matume ni ya moto mno maza kaona akae kimya tu hahaaaaa
 
We nae endelea kulima majaruba ya mpunga kama unavyo sema,uwezekano wa kuchezea tope na kuibuka na mfadhaiko wa akili ni mkubwa sana,na ndio maana sikushangai kuandika hivyo...
Lengo ni kumpa hongera tu, manake kwa kauli yake tu hata majeneza huku hayatoki yametudodea.
 
Ana akili binti Hasani.
Amemchagua yule shushushu wa zamani kuwa Katibu Mkuu wa Chama. Ni wazo zuri. Kwa sababu mwana CCM akileta fujo,yule jamaa atamshuti na pistol.
 
Ana akili binti Hasani.
Amemchagua yule shushushu wa zamani kuwa Katibu Mkuu wa Chama. Ni wazo zuri. Kwa sababu mwana CCM akileta fujo,yule jamaa batamshuti na pistol.
Na kwa kuwadhihirishia anawachezesha kigodoro kwa NDUGAI,ye anajifanya kamba hajui na hazungumzii tu,hapana! binti Hassan kawaweza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…