Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 2,536
- 4,621
MBU*
Kwenye mtihani ukiulizwa kati ya mbumbumbu na Lofa bora yupiπ?MBU*3
Atajua mwaka huu kama ipo au haipoHapo vip!
Embu tuweke ushabiki pembeni alafu tujuulize hivi rais wa FIFA anafahamu kuna timu inaitwa yanga kweli?ππππ
View attachment 3120237
Hii picha ingekuwa kule kwa wale jamaa..wangeweka kwenye mabangoHapo vip!
Embu tuweke ushabiki pembeni alafu tujuulize hivi rais wa FIFA anafahamu kuna timu inaitwa yanga kweli?ππππ
View attachment 3120237
We una akili sawa sawa....hujui Simba kwa sasa ni timu ya 5 kwa ubora barani ya Afrika kwa mujibu wa CUF...yanga tokea kuubwa kwa Dunia haijawahi kufika top 10π,hujui Simba ndio club ya kwanza kuchukua kombe la ligii kuu Tanzania mwaka 1965 na 1966,haujui Simba ndio timu ya kwanza kucheza superleague Barani Afrika league ya timu 8 bora na KUBWA barani Afrika,haujui simba ndio timu ya kwanza kufika final shirikisho kabla ya yanga mwaka 1993,haujui Simba ndio timu yakwanza kucheza nusu final Club bingwa mwaka 1974,haujui Simba imecheza robo final Club bingwa mara 5bmfululizo...yanga bado kwa kila kitu...ndio maana wanaanzaga kutaja Simba na yanga yaaani mume na mke.Lazima afahamu maana Yanga ndo mme wa Simba
Nawaambia lile duka lenu halipo tena mjiandae kisaikolojia maana mnapenda kulalamika sana.Kolo ni kolo tu Wallah
πππYanga wanavyojipendekeza kwa wakubwa watajulikana tu kama jamaa alienda south Africa bila kualikwa hashindwi kitu yule.
Jamaa anakuwa shoga nini?mbona anajipendekeza kama mwanamke wa buza..hiyo match aliyocheza Simba na hao kunguni haijulikana hata hapo kenya...Rais wa FIFA anajua timu kubwa barani Afrika kwa ubora na zipo kwenye file za CAF sio kumuwadisia mechi za shule msingi ukafikiri utafahamikaπ
PoleJamaa anakuwa shoga nini?mbona anajipendekeza mwanamke wa buza..hiyo match aliyocheza Simba na hao kunguni haijulikana hata hapo kenya.
Tuliza hasira we'kundu' wa msimbazi π rank za CAF Yanga inakuja juu kwa kasi, derby ya kariakoo ni ya tatu kwa ubora Afrika, sasa Rais wa FIFA aache kujua finalist na medalist wa cafcc ahangaike na robo kilo fc πππJamaa anakuwa shoga nini?mbona anajipendekeza kama mwanamke wa buza..hiyo match aliyocheza Simba na hao kunguni haijulikana hata hapo kenya...Rais wa FIFA anajua timu kubwa barani Afrika kwa ubora na zipo kwenye file za CAF sio kumuwadisia mechi za shule msingi ukafikiri utafahamikaπ
Kumbe CUF nilijua CAF πππWe una akili sawa sawa....hujui Simba kwa sasa ni timu ya 5 kwa ubora barani ya Afrika kwa mujibu wa CUF...yanga tokea kuubwa kwa Dunia haijawahi kufika top 10π,hujui Simba ndio club ya kwanza kuchukua kombe la ligii kuu Tanzania mwaka 1965 na 1966,haujui Simba ndio timu ya kwanza kucheza superleague Barani Afrika league ya timu 8 bora na KUBWA barani Afrika,haujui simba ndio timu ya kwanza kufika final shirikisho kabla ya yanga mwaka 1993,haujui Simba ndio timu yakwanza kucheza nusu final Club bingwa mwaka 1974,haujui Simba imecheza robo final Club bingwa mara 5bmfululizo...yanga bado kwa kila kitu...ndio maana wanaanzaga kutaja Simba na yanga yaaani mume na mke.
Labda useme yellow maize flourHapo vip!
Embu tuweke ushabiki pembeni alafu tujuulize hivi rais wa FIFA anafahamu kuna timu inaitwa yanga kweli?ππππ
View attachment 3120237
Lofa ni lofa kweli..kwa hiyo unapingana na rais wa nchi alivyothibitisha yakwamba Simba ilicheza final ya shirikisho mwaka 1993,hijui rais ni nchi.Kumbe CUF nilijua CAF πππ
Eti fainali π hakuna timu iliyowahi kucheza fainali CAF Tanzania zaidi ya Yanga na medali zipo, hakuna timu yenye mafanikio na makombe mengi zaidi ya Yanga hapa nchini, kuanzia Ligi kuu Γ 30, FA, Ngao ya jamii, n.k hakuna timu kubwa ya mpira kongwe zaidi ya Yanga hapa nchini, 1930, Unataka niendelee kutaja?π