Hivi Rama Dee aliwakosea nini watanzania

Rama dee ndiye the Best Vocalist kwa hii East Africa..

Kiba, Chibu, Ben pol, Barnaba wote wanakaa kwa huyu jamaa! Wimbo wake wa kipenda roho aisee ni moja wa nyimbo zangu bora za muda wote kwenye Bongofleva..

Kushindwa kuhit kwa Rama Dee licha ya kuwa na kipaji cha kipekee ni kielelezo kwa wasanini wengine wafahamu kuwa, kuwa na kipaji pekee haitoshi.. Kuna mambo mengine mengi ya kuzingatia ili uweze "kuushika mtaa"..


Nifah this one is for you mama [emoji4]
# KipendaRoho
 
Rama kwa kipaji wanakimbizana na alikiba barnaba Ben pol banana kidumu.

Sijui kwanini haparty airtime kama wenzake. Namshauri atafute tu kick maana mi tanzania 90% tumeshakuwa ma bogas asee nikufwata mkumbo na umbea umbea.
 
 
Mkuu siku hizi Tanzania tumebakiza kizazi kinaitwa "TIMU". Sio wasugua sufuria, ma dj wala radio presenters, wote ni "timu"
Chamuhimu sisi ambao bado tunatambua michango ya ma legends kama hao, ndio tuzidi kushikilia heshima zao katika tasnia ya Muziki wa hapa nyumbani. Shout out to, Rama Dee, Mr. Paul na wengineo. We Salute you forever ever.
 
Tatizo jamaa ana mambo ya kike na ndio yamesababisha apotee kwenye game,aliingilia ugomvi wa Ruge na sugu sasa walivyo kuja kupatana yeye akabaki yupo yupo na ngoma zake cloud hawazigongi!
Kwa hiyo unamaanisha, kila aliyeingia ugomvi na Ruge, ana mambo ya kike?
 
Nimetazama hii video mpaka roho imeniuma kwanini haipewi sheshima yaka! yaani haichoshi
 
Awwwwww what a song?
Thank you my love...[emoji7]
Nitakushika mkono,sitokuachia...tutashinda [emoji123]

#EndlessLove#
 
Kweli kabisa ukiambiwa muziki unaoishi wala hauchoshi ndio huu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…