Ule wimbo ni wa Danny msimamo sema kamshirikisha rama deeKuna wimbo wake unaitwa naenda mwezini ni hatari sana huyu jamaa
Ni dar es salaamSi kuishi jomba, nimesema alikokulia...si wajua unaweza mtoa nyumbu porini lakini pori huliwezi litoa ndani ya nyumbu
Kwan ngoma lazma igongwe cloudsTatizo jamaa ana mambo ya kike na ndio yamesababisha apotee kwenye game,aliingilia ugomvi wa Ruge na sugu sasa walivyo kuja kupatana yeye akabaki yupo yupo na ngoma zake cloud hawazigongi!
Tatizo wapresenter wengi kama wamerogwa na clouds, wanaiga sana mambo yao sana hadi utimu upo kwahiyo siweza shangaa kutokupigwa kwa nyimbo zao,yaani ingebidi wajifunze kupiga muziki mzuriRAMA DEE YUPO VIZURI SANA,ANAJUA SANA,KWANI MSANII WA TANGANYIKA NI LAZIMA UPATANE NA CLOUD NDO UTATOKA KIMZIKI?WAO NI KINA NANI?CHANNEL FIVE NA WENGINE HAWAPIG NYIMBO ZAKE?HIVI MNAJUA KUNA WATU HATUNAGA MUDA KABISA WA KUANGALIA CLOUD WALA KUISIKILIZA?
SISI TUNACHOTAKA NI MZIKI MZURI,MEDIA NYINGINE WAPIGE NYIMBO TUTASIKILIZA SI REDIO ZA KI.UJANJA UJANJA HIZO HATUNA MUDA NAZO KABISA.
Once again,Big up Rama Dee,keep up the good work
Tatizo ******
Urudii utupe majibuu ni bonge la song mzeeNgoja nikausikilize huo wimbo wa kipenda roho,ndio nije kukomenti
safi sana mdau kwa uchambuzi uliojaa ukweli.Kosa lake jingine ambalo linamuangamiza ni kuamini, ndoa yake na mzungu ndio kila kitu katika maisha yake huku anasahau kuendeleza kipaji chake. Sijajua kwa nn vijana wanaona deal kuoa wazungu eti kwa sababu ya kupata makaratasi ya kuishi ulaya huku wakisahau kupigania vipaji vyao, siku wakipigwa chini na hao wazungu sijui itakuwaje.
Kosa lake la pili ni kuingilia ugomvi usiowahusu (ugomvi wa sugu na ruge).Ukiangalia ugomvi wa sugu na ruge haukuwa kwa ajili ya kutetea maslai (walidhulumiana ela za wafadhili katika mradi wa marelia) ya mziki na wasanii, bali ulikuwa wa kutetea maslai yake mwenyewe sugu kwa kuwatumia wasanii wabongo fleva ili apate support, kwa kuanzisha anti-virus movement. Haya leo hii sugu na ruge wamepatana na uswahiba wao unazidi kuimarika, je wasanii bado hawanyonywi?,je wasanii hao walioanzisha hiyo movement wanapata airtime na show za kutosha?, jibu ni hapana mimi paka sasa nikiangalia mziki huu wa bongo fleva sijaiona effect yoyote ya anti-virus movement. Wasanii wote waliomsapoti sugu walitakiwa wajiulize, je hii vita tunaipigana kwa maslai ya nani, sisi pamoja na industry ya bongo fleva tutapata nini? Sasa hivi angalia mtu kama Rama dee mm mwenyewe namkubali sana na nyimbo ninayoikubali ni Ile aliyofanya na jide lkn haikupata airtime ya kutosha. Njoo kwa mapacha wako hoi wamezidiwa na msanii waliomkaribisha dar Joh makini wame kaa nae ghetto moja lkn leo wana wanalalamika njaa huku Joh anazidi kutusua. Ujue siku zote unapoingia ktk vita yoyote jiulize hii vita na pigana kwa maslai ya nani?
Ngoja nikausikilize huo wimbo wa kipenda roho,ndio nije kukomenti
Ben pol hata aimbe mpakaHuyu jamaa anajua huo wimbo ni shida. Changanya nyimbo za ben pol hazioni ndani kwa kipenda roho.
Ila ndiyo hivyo watz wengi kama hawaoni na wengine hawamjui.
Hapo ndipo ujue mziki ni zaidi ya kuwa mwimbaji mzuri.
Ruge cjui anakimbola ganiTatizo jamaa ana mambo ya kike na ndio yamesababisha apotee kwenye game,aliingilia ugomvi wa Ruge na sugu sasa walivyo kuja kupatana yeye akabaki yupo yupo na ngoma zake cloud hawazigongi!
Acha uwongo....bifu la rama d na clouds fm halijaanzia ktk antivirus.....wale wana yao kitambo tu hiyo antivirus ni mwendelezo tuTatizo jamaa ana mambo ya kike na ndio yamesababisha apotee kwenye game,aliingilia ugomvi wa Ruge na sugu sasa walivyo kuja kupatana yeye akabaki yupo yupo na ngoma zake cloud hawazigongi!