Hivi ramli chonganishi ikifanywa na mhubiri wa "injili" ni halali?

Hivi ramli chonganishi ikifanywa na mhubiri wa "injili" ni halali?

raslimali

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2014
Posts
1,958
Reaction score
1,744
Nimepata kusikia mara kadhaa katazo ama kukamatwa kwa waganga wa jadi kwa kosa la ramli chonganishi. Lakini jambo hili hili linafanywa wazi kabisa na hawa wahubiri wa injili feki kwenye vituo vya redio.

Hii imekaaje? Mtu anapiga simu redioni mhubiri anamwambia anayesababisha matatizo yako ni fulani!
 
Back
Top Bottom