tutafikatu
JF-Expert Member
- Dec 17, 2011
- 3,327
- 4,624
Yaani sasa ukitumia rangi za upinde wa mvua unahesabika upande wa pili. Dah! Hawa jamaa bwana.
Kwenye biblia tunasoma
"Mimi nauweka upinde wangu winguni, nao utakuwa ni ishara ya agano kati yangu na nchi. Hata itakuwa nikitanda mawingu juu ya nchi, upinde utaonekana winguni, nami nitalikumbuka agano langu, lililoko kati yangu na ninyi, na kila kiumbe hai katika wote wenye mwili, wala maji hayatakuwa gharika tena kuwaharibu wote wenye mwili."
Mwa 9:13-15 SUV