Hivi rangi za upinde wa mvua (rainbow) ndio tumenyang'anywa hivyo

tutafikatu

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2011
Posts
3,327
Reaction score
4,624
Yaani sasa ukitumia rangi za upinde wa mvua unahesabika upande wa pili. Dah! Hawa jamaa bwana.

Kwenye biblia tunasoma
"Mimi nauweka upinde wangu winguni, nao utakuwa ni ishara ya agano kati yangu na nchi. Hata itakuwa nikitanda mawingu juu ya nchi, upinde utaonekana winguni, nami nitalikumbuka agano langu, lililoko kati yangu na ninyi, na kila kiumbe hai katika wote wenye mwili, wala maji hayatakuwa gharika tena kuwaharibu wote wenye mwili."
Mwa 9:13‭-‬15 SUV

 
Na bado. Waki toka kwenye upinde wa mvua wanaingia kwenye Jua na Mwezi.
 
Na nina uhakika hawakuichagua hizo rangi kwa bahati mbaya
 
Ukiona nguo au kiatu kina hizo rangi unaepika mbali, ilhali kama ni t-shirt au koti lenye hiyo nembo ikivaliwa inaweza kupendeza ukivaa na kiatu chochote tu.
Ila ndo ivo tushapokwa hiyo kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…