ommytk
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 520
- 1,143
Wadau kuna hili jambo naomba kushare humu naona mara nyingi nakutana nalo asa nikienda labda kutembea maeneo mbali mbali ya kutalii kuna ili jambo nakutana nalo la vijana wengi ambao ndio wanakuwa kama waelekezaji wageni kuwa na Rasta sasa uwa najiuliza je wageni toka nje uwa wanahitaji sana hizi Rasta au sijaelewa.
Maana Rasta sio utamaduni wetu kwanini kila mahali unakuta hii hali.
Ila labda wenzangu mnajua zaidi akipatikana hapa tour guide atakuja na majibu mazuri
Maana Rasta sio utamaduni wetu kwanini kila mahali unakuta hii hali.
Ila labda wenzangu mnajua zaidi akipatikana hapa tour guide atakuja na majibu mazuri