Hivi Ratiba ya Mtanzania (Daily Routine) ikoje wadau?

Hivi Ratiba ya Mtanzania (Daily Routine) ikoje wadau?

Nyuki Mdogo

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2021
Posts
4,134
Reaction score
10,644
Naomba kujua, Mtanzania mtu mzima ambae si mwanafunzi.

Daily Routine yake ikoje toka anapoamka mpaka anapoenda kulala?

Maana naona zaidi ya 85% ya watanzania hawako bize kabisa.

ikitokea tukio hata la mtu kuibiwa simu katikati ya Jiji, watu wanajaa kutazama zaidi ya saa nzima na wanakaa na kujadiliana kabisa..😅😅😅
 
Kuamka,
Kupiga mswaki,
Kwenda mishe mishe
Saa nne chai,
Mchana lunch au pass ndefu
Jioni kugeuka gheto,
Kijiweni kujichanganya na washakaji,
Saa mbili dinner
Saa tatu, Capital, Pestana, Tango bar, bambaraga, Club seven au chako ni chako,
Saa tano kuopoa chombo kwa ajiri ya uchakataji.
-Kurudi gheto kupumzika.

Hii ni ratiba yangu kuanzia jumatatu mpaka jumapili
 
We nani kakuambia watanzania tuna ishu ya maana ya kutuweka bize mda wote....? Wengne unawakuta barabarani wanazunguka kusubiria zali babu hatuelewii hadi hatuelewi tena kwaiyo tukiona matukio kama ayo lazma tuweke kituo apo katI
 
Utakuaje na ratiba kazi huna unasubiri dili litiki ndio huwe busy
 
Back
Top Bottom