Nyuki Mdogo
JF-Expert Member
- Oct 31, 2021
- 4,134
- 10,644
Naamka asubuhi nnapiga mswaki,Wewe si mtanzania ? Tuwekee routine yako
Watanzania wengi wanaishi kwa kubahatisha bora liende..zamani walikua ambao sio wasomi sasahivi wameungana na graduates..mtaa umefurika majobless.Naamka asubuhi nnapiga mswaki,
naingia ku bath kuweka mwili safi..
(ngwair..)
Kisha naingia JF mpaka mida ya "lanchi"Naamka asubuhi nnapiga mswaki,
naingia ku bath kuweka mwili safi..
(ngwair..)
Mswaki unaupigaje wengi husafisha meno asubuhi.Naamka asubuhi nnapiga mswaki,
naingia ku bath kuweka mwili safi..
(ngwair..)
Unaongea na Marehemu Ngwair?Mswaki unaupigaje wengi husafisha meno asubuhi.