Hivi Rayvanny ana mpango gani na label yake ya NEXT LEVEL MUSIC (NLM)?

Hivi Rayvanny ana mpango gani na label yake ya NEXT LEVEL MUSIC (NLM)?

Mayunga234

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2017
Posts
1,725
Reaction score
1,995
Ni Mwezi wa 6 Huu Tangu Rayvanny atangaze label yake ila hadi leo hakuna chochote kinachoendelea kwenye hiyo label

Juzi kati ametubiga mkwara wa kutambulisha First born wa NLM hadi Leo holla hakuna cha Msanii wala nini

Rayvanny hebu fanya Maajabu Uongeze Competition kwenye game la Bongo Flavor tunamsubiri Msanii mpya hili tuone kama kwenye ni Next Level kama Jina la Label au vipi

Ila navyoona Next level Music (NLM) itakuwaja kubwa Record Label Kubwa Africa ya Kushindana na WCB, Mavini Records, King Music na DMW Ambazo ni Record Label kubwa na Zimetoa Vichwa kwenye Mziki huu

Rayvanny Changamka Utoe challenge kwenye Game la Bongo Flavor

Then Kama Ulikuwa hujui Rayvanny Anakaribia Kumalizia Deni lake WCB hili Asepe kwenye Label hiyo
 
Mama yake bado ni muuza genge Soweto.

Mama Dangote ni kama Malkia, Rayvanny kutoboa ni ngumu sana

Mbona linafahamika Mama yake ni Mtu wa dini sana na alikataa hela za Mwanae za Mziki kuwa ni Haramu Kama mnavyowajua watu wa mbeya wanavyojua kushika dini

Then Dogo anakaribia Kumaliza Deni lake WCB mda wowote ana sign out
 
Back
Top Bottom