Hivi Regulator wa Mitungi ya Gas Mpo?

Hivi Regulator wa Mitungi ya Gas Mpo?

Mr. Marangu

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2013
Posts
1,574
Reaction score
1,549
Hivi karibuni nime expirience tatizo la gas kuisha ndani ya wiki3 tofauti na siku za nyuma, ikumbukwe naishi na mke only hatuna house girl wala ndugu, wote tunatoka asubuhi sana na tunarejea jioni, matumizi tunayofanya ni asubuhi tunachemshia maji ya kuoga na chai so mimi nishahidi wa matumizi bora ya gas, kwa matumizi niliyotaja tulikua tunatumia miezi 3 sasa kilicho nishangaza ni gas kuisha ndani ya wiki tatu

Wenzangu mmekutana na kadhia hii?, kama mmekutana nayo je kuna mamlaka za ku maintain standard and quality? Mamlaka hizo zinafanya kazi gani?

Najua kuna watakao sema gas mnachemshia maharage...n.k

Cc
yna2
Mother Confessor
Smart911 na Partner wako mahondaw
General Mangi
BASIASI
Mr. MTUI
Agatha Frank
Beira Boy
 
Wauzaji wote wanatakiwa kuwa na mizani ili uzito wa gasi use sawa na kilichoandikwa kwenye mtungi
Swali
Je wakati wa kufanya manunuzi huwa unapima mtungi wako na kuhaikikisha kwamba umejaaa?
 
Kwanza hakikisha kuwa unaenda kununua mtungi kwa muuzaji mwenye mzani tu na Ukienda kununua huo mtungi next time hakikisha unaupima kabla ya kuondoka nao na hyo kilo utakayopata iendane na ile ya ubavuni mwa mtungi na kama itapungua basi iwe ni zero point kadhaa .ukiona imepungua kilo kadhaa basi nenda kwa muuzaji mwinngine.
 
Kiukweli kabisa wauzaji wa eneo nililopo hawana hizo mizani and unapewa mtungi uko slid ila baada ya siku chache unaexpirience mauzauza
Wauzaji wote wanatakiwa kuwa na mizani ili uzito wa gasi use sawa na kilichoandikwa kwenye mtungi
Swali
Je wakati wa kufanya manunuzi huwa unapima mtungi wako na kuhaikikisha kwamba umejaaa?
 
Kwanza hakikisha kuwa unaenda kununua mtungi kwa muuzaji mwenye mzani tu na Ukienda kununua huo mtungi next time hakikisha unaupima kabla ya kuondoka nao na hyo kilo utakayopata iendane na ile ya ubavuni mwa mtungi na kama itapungua basi iwe ni zero point kadhaa .ukiona imepungua kilo kadhaa basi nenda kwa muuzaji mwinngine.
Nashukuru kwa ushauri though nadhani makampuni ya gas yanatumia maeneo ya vijijini kama vichaka wanakua na agent wasio na mizani...
 
itakua imeharibika kidude cha Kuzima na kuwasha hakikazi vizuri so Hata ukizima gesi inapita.

pia yawezekana kwenye kuizima hamuikazi vizuri so inakua I natoka

mimi yangu kuna mwezi ilikaa wiki moja tu Shida nikwamba Binti wakazi alikua hajazoea kutumia gesi so kwenye Kuzima hakazi vizuri

Cc Smart911
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
 
Bora wewe umesema yaani gas inaisha kama majiiiiii khaaaaa.... Nimenunua o gas uwiiii mwezi mmoja tu imeisha na hapo natumia jiko la mkaa na la mchina Pia.... Wakaguliwe hawa jamaa
 
itakua imeharibika kidude cha Kuzima na kuwasha hakikazi vizuri so Hata ukizima gesi inapita.

pia yawezekana kwenye kuizima hamuikazi vizuri so inakua I natoka

mimi yangu kuna mwezi ilikaa wiki moja tu Shida nikwamba Binti wakazi alikua hajazoea kutumia gesi so kwenye Kuzima hakazi vizuri

Cc Smart911

Ni kweli kabisa...
 
Bora wewe umesema yaani gas inaisha kama majiiiiii khaaaaa.... Nimenunua o gas uwiiii mwezi mmoja tu imeisha na hapo natumia jiko la mkaa na la mchina Pia.... Wakaguliwe hawa jamaa
Wahanga kumbe tupo wengi, sema wengine wanaugulia ndani kwa ndani hawataki kupaza sauti
 
Tupo wengi mnoo, mie huwa natumia mtungi mdogo Muda wa miezi miwili mpaka mitatu, ila time hii lol,! Mwezi tu gas imeisha
Nimekuja kwa pm yako nkakuta kufuli..
 
Hata mimi nilikuta kile ki banio kilikuwa kimelegea nikabdili kwa sasa nakula maisha.
itakua imeharibika kidude cha Kuzima na kuwasha hakikazi vizuri so Hata ukizima gesi inapita.

pia yawezekana kwenye kuizima hamuikazi vizuri so inakua I natoka

mimi yangu kuna mwezi ilikaa wiki moja tu Shida nikwamba Binti wakazi alikua hajazoea kutumia gesi so kwenye Kuzima hakazi vizuri

Cc Smart911
 
Kama unatumia mtungi mdogo take time to check it's burner, probably itakuwa na tatizo la kupitisha gas au huenda huikazi vizuri baada ya matumizi..
 
Mie awali nilikuwa natumia jiko la nikai sikuexpeience tatizo lolote. Baadae likaanza mauza uza, nikanunua lingine la mo-energy sijui. Hapo ndipo niliifurahia show, gas ndani ya mwezi kwishney(na hapo ni mtungi mkubwa) Nikagundua tatizo ni jiko. Nikanunua lingine now mambo yako poa tu.
 
Back
Top Bottom