Hivi Ripoti ya Waangalizi wa Uchaguzi wa Rais 2010 ilishatoka?

Ibrah

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2007
Posts
2,730
Reaction score
530
Wadau, nina hamu sana kupata Ripoti ya Waangalizi wa Uchaguzi wa mwaka 2010, hususani ule wa Rais.
Je, ripoti ilitolewa? Kama ndiyo, Nitaipatake?
 
Wadau, nina hamu sana kupata Ripoti ya Waangalizi wa Uchaguzi wa mwaka 2010, hususani ule wa Rais.
Je, ripoti ilitolewa? Kama ndiyo, Nitaipatake?

Report haiwezi kutolewa kwa kuwa aliyeshinda yuko mtaani na aliyeshindwa yuko magogoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…