Hivi ruzuku ya CHADEMA hufanya kazi gani maana wenzao CCM wamenunua hadi YUTONG BUSES!!

Hivi ruzuku ya CHADEMA hufanya kazi gani maana wenzao CCM wamenunua hadi YUTONG BUSES!!

Inaimarisha miradi ya Mbowe na kumjengea nyumba ya kisasa ya kuishi
 

Attachments

  • Screenshot_20250115_060430_X.jpg
    Screenshot_20250115_060430_X.jpg
    193.8 KB · Views: 2
Mwenyekiti kuishi vizuri na kula bata na chawa wake
 
Chadema ina wafanyakazi 17 tu wanaolipwa mishahara

Sasa Ruzuku ya Serikali na michango ya wanachama inakwenda wapi?

Safarini Dodoma 😂😂
Cdm ruzuku yao ni kwa ajili ya kutoa elimu ya uraia kwani ni chama siasa. Ccm sio chama cha siasa ndio maana unaona wanapewa mabus na waliowagawia raslimali za umma. Fuatilia kama kuna mjadala wowote wa cheo cha makamu mwenyekiti wa ccm, ila siku ha uchavuzi watapewa jina, na kulipitisha tu watu warudi wakasimamie biashara zao za siri na wizi.
 
Back
Top Bottom