johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Lisu alipewa bus ubeligiji akaliuza!Chadema ina wafanyakazi 17 tu wanaolipwa mishahara
Sasa Ruzuku ya Serikali na michango ya wanachama inakwenda wapi?
Safarini Dodoma ππ
Umejiuliza kama ruzuku zinafanana viwango/kiasi?!Chadema ina wafanyakazi 17 tu wanaolipwa mishahara
Sasa Ruzuku ya Serikali na michango ya wanachama inakwenda wapi?
Safarini Dodoma ππ
Cdm ruzuku yao ni kwa ajili ya kutoa elimu ya uraia kwani ni chama siasa. Ccm sio chama cha siasa ndio maana unaona wanapewa mabus na waliowagawia raslimali za umma. Fuatilia kama kuna mjadala wowote wa cheo cha makamu mwenyekiti wa ccm, ila siku ha uchavuzi watapewa jina, na kulipitisha tu watu warudi wakasimamie biashara zao za siri na wizi.Chadema ina wafanyakazi 17 tu wanaolipwa mishahara
Sasa Ruzuku ya Serikali na michango ya wanachama inakwenda wapi?
Safarini Dodoma ππ