Trainee
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 2,660
- 3,501
Ni kama swali la kitoto lakini nimeuliza hivyo kwasababu mimi ni mvaaji wa saa mzuri tu sasa imefikia hadi mkono wangu umepata alama nyeupe pale ninapovalia saa (yaani ngozi imebadilika rangi imejichora saa) sasa nikiangalia ile alama nikiangalia na lile bati (sijui madini gani) linaloniweka alama mkononi basi sipati picha na sina imani kabisa.