Hivi sababu za kufupisha majina haya yalikua ni nini hasa??

Hivi sababu za kufupisha majina haya yalikua ni nini hasa??

dadeez

Senior Member
Joined
Nov 30, 2010
Posts
116
Reaction score
144
SULE badala ya SALEHE SHAKAZULU badala ya MASHAKA

OMMYGUY badala ya OMARI DULA badala ya abdallah

SIDEBOY badala ya SAIDI MUDYGUY badala ya MOHAMMED
 
sijakuelewa??una maanisha nini mkuu?au umejisikia tu kuanzisha thread na wewe
 
kabisa unatarajia majibu?kwamba hujui kwanini watoto wenzako wanajipa majina mbadala?kwamba wakikua kidogo hayo majina yanapotea?kwamba si kitu cha kujadili kwa mtu mwenye fikra komavu?hebu kuwa ili upate kutiririka na mada zenye mashiko!
 
Back
Top Bottom