dadeez Senior Member Joined Nov 30, 2010 Posts 116 Reaction score 144 Feb 11, 2013 #1 SULE badala ya SALEHE SHAKAZULU badala ya MASHAKA OMMYGUY badala ya OMARI DULA badala ya abdallah SIDEBOY badala ya SAIDI MUDYGUY badala ya MOHAMMED
SULE badala ya SALEHE SHAKAZULU badala ya MASHAKA OMMYGUY badala ya OMARI DULA badala ya abdallah SIDEBOY badala ya SAIDI MUDYGUY badala ya MOHAMMED
PakaJimmy JF-Expert Member Joined Apr 29, 2009 Posts 16,199 Reaction score 8,761 Feb 11, 2013 #2 Yafanane fanane na ya kizungu. Brainwashed.
NIGGA JF-Expert Member Joined Jan 23, 2013 Posts 1,239 Reaction score 640 Feb 11, 2013 #3 sijakuelewa??una maanisha nini mkuu?au umejisikia tu kuanzisha thread na wewe
124 Ali JF-Expert Member Joined Apr 25, 2010 Posts 7,813 Reaction score 5,514 Feb 11, 2013 #4 kabisa unatarajia majibu?kwamba hujui kwanini watoto wenzako wanajipa majina mbadala?kwamba wakikua kidogo hayo majina yanapotea?kwamba si kitu cha kujadili kwa mtu mwenye fikra komavu?hebu kuwa ili upate kutiririka na mada zenye mashiko!
kabisa unatarajia majibu?kwamba hujui kwanini watoto wenzako wanajipa majina mbadala?kwamba wakikua kidogo hayo majina yanapotea?kwamba si kitu cha kujadili kwa mtu mwenye fikra komavu?hebu kuwa ili upate kutiririka na mada zenye mashiko!