LUS0MYA
JF-Expert Member
- Aug 4, 2011
- 866
- 1,109
Nimetafakari sana na kuona hizi kesi zinazoendelea ni kupoteza muda tu na zaidi ni vita vya ndani baina ya wanachama wenyewe wa Chadema ambao wengine wana matumaini ya kuchukua nafasi za hao COVID 19.
Ukiangalia vizuri lengo la wakati huo ilikuwa ni kutokutambua matokeo na ilihusu pia mbunge mmoja aliyeshinda uchaguzi huko Nkasi.
Lakini kwa sasa CHADEMA imekubaliana na Serikali iliyopo na hata mbunge wa kuchaguliwa anaendelea na majukumu yake kama kawaida.
Kwanini wasitumie muda huu kujipanga na kuleta ushindani wa kisiasa ili kujenga taifa? Wasameheni hao mjipange upya kwa uchaguzi ujao na kupigania Katiba Mpya.