Hivi sabaya akisema kwamba "Hata mbowe alishinda ila nilitumwa nihakikishe anatangazwa wa ccm"! Itakuwaje.

Hivi sabaya akisema kwamba "Hata mbowe alishinda ila nilitumwa nihakikishe anatangazwa wa ccm"! Itakuwaje.

Ikitotanzila

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2020
Posts
1,409
Reaction score
2,263
Nimewaza tu jamani. Mana sabaya anajua siri nyingi sana na katika watu waliokuwa hawajulikani au watu wasiojulikana wajati ule tayari yeye ni mmoja wao na amejifunua tayari
 
Nimewaza tu jamani. Mana sabaya anajua siri nyingi sana na katika watu waliokuwa hawajulikani au watu wasiojulikana wajati ule tayari yeye ni mmoja wao na amejifunua tayari
Akajipa na manyota ya jeshi pengine alihusika kumpiga tundulisu risasi maana huyu alikuwa kiberenge wa kwenda kufanya matukio mkoa wowote na hakuna mtu aliye weza ingilia msafara wake maana alipo jiwe yupo!!
 
Hilo linajulikana aliagizwa ahakikishe Mafuwe anatangazwa mshindi

Kama alikuwa anaagizwa mambo mengi nyeti nje ya eneo lake la kazi, sembuse hili kwenye eneo lake la kazi
 
Hizi week kadhaa zijazo tutasikia mengi. Sabaya ameamua kumwaga mboga baada ya wao kumwaga ugali.
 
Back
Top Bottom