First Born
JF-Expert Member
- Jul 11, 2011
- 5,312
- 1,475
<br />mbona napata wasiwasi na jaji wa bongo star Salama, yeye kila msanii anamponda, kila msanii anaeperform hata kama majaji wengine kama Master J wamsifie yeye lazima amvunje moyo!!!!<br />
Kwa nini?<br />
Mimi binafsi namshangaa san.
ach we!!!!!!!!!!!!!!huh..............anajtahdi ila tatzo jingine apunguze kuvuta ng'ang'a
yake imezidiYaani watz wana matatizo sana, hupenda wasifiwe tu halafu ndiyo wanajiona kama wamefika. Mfano mdogo tu ni yule munayemwita Hemedi ambaye mulimsifu na akajiona yeye ndiyo Schwazenneger wa tz. Alipoambiwa ukweli akaanza kutukana.
Jaribuni kuchukuwa criticisms kama ni jambo la kawaida na ulifanyie kazi ili kuongeza ubora wa kazi zako.
umesomekaTufike mahali tukubaliane kwamba Salama anabeba kipindi cha BSS kwani kila mshiriki anajitahidi kufanya vizuri awezavyo ili kukwepa mipasho ya Salama, wakisifiwa tu hawatakaza buti, tunataka mtu akiitwa mshindi awe amepita vikwazo ili awe mshindi wa ukweli, ili iwe hivyo Salama ndio kitengo chake kukosoa!!