Hivi Samata anaenda hii timu 1 au ya 8

sam2015

Senior Member
Joined
Dec 20, 2015
Posts
107
Reaction score
112
Nauliza wadau

 

Attachments

  • 1452417813501.jpg
    31.2 KB · Views: 74
Ni Genk ya nane, ila kati ya Gent na Genk, pamoja na Genk kuanzishwa hivi karibuni, ila wana mafanikio zaidi ya Gent! Gent ilianzishwa miaka ya 1880s huko, wakati Genk ni ya 1980s tu! Ila wameshashinda first division mara 3, mara ya mwisho ni 2011. Gent wameshinda first division mara moja ambayo ni 2015. Genk ndio timu iliyowatoa kina Benteke, De Bruyne na Courtois! Hivyo Samata kapata timu.
 
Hivi atakuwa anavuna kiasi gani kwa wiki ????
 
Jamani km sijakosea hii ndo inashiriki mara kwa mara UCL ???
 
kishatoka bwana mdogo, Genk ni timu kubwa ubelgiji.
 
Gent wako UEFA champions League ujue, hata kwenye 16 bora wameingia
 
Akienda Genk ataweza kutoka kimpira ile timu imetoa wachezaji wengi wazur.
 
Last edited:
hata angeenda hiyo ya mwisho bado si sawa na hapa bongolala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…