Mpendakukimbiakimbia
Senior Member
- May 18, 2018
- 151
- 274
Naomba jibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaa! umemdaka vizuriLengo lako ni kumdiss Samata kwamba kwanini hatoi misaada kwa jamii wakati mpira unalipa kuliko mziki.
Anajifanya kuzungukia pointhahaa! umemdaka vizuri
Nani kasema mpira unalipa kuliko mziki??Lengo lako ni kumdiss Samata kwamba kwanini hatoi misaada kwa jamii wakati mpira unalipa kuliko mziki.
Mpira unalipa saaaaaaana ndo maana wanamichezo watano walioingiza pesa nyingi 2016,2017 Hakuna msanii hata mmoja, deal la Nike pekee Rinaldo wanampa $1billion husiche na mpira pyeeeeeNani kasema mpira unalipa kuliko mziki??
Acha kumlinganisha samatta na wavaa vikukutoa upuuzi humu, katafute bank statements zao, na ownership status za mali zao, usilete ushamba humu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]Kuna jamaa humu bingwa wa kukokotoa pesa za wanaume wenzie ngoja aje.
Usimfananishe Diamond na Watu kama samatta buana D ni. Level Nyingine mpira unalipa ila sio afrika na ligi ya uberigiji mpira unalipa baadhi ya nchi mfano ni England, Spain, jerman, italy nk.Mpira unalipa saaaaaaana ndo maana wanamichezo watano walioingiza pesa nyingi 2016,2017 Hakuna msanii hata mmoja, deal la Nike pekee Rinaldo wanampa $1billion husiche na mpira pyeeeee