mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,441
- 431,885
Naunga mkono hojaMods tuwekeeni option ya Dislike
Maana pumba zinazidi Kuwa nyingi sana sikuhizi.Naunga mkono hoja
Asante ni kweli unakuta uzi mwingine unaanzishwa mpka unashangaa kweli hii ni JFMaana pumba zinazidi Kuwa nyingi sana sikuhizi.
Nakutakia kila la kheri kaka leo uko mizigoni.
Asante ni kweli unakuta uzi mwingine unaanzishwa mpka unashangaa kweli hii ni JF
Au asubiri Forbes Africa wakiingia, huku tutaanza kuhesabu nyumba magari e.t.c bila kujua uhakika wa ownership, na deals bila kujua wanufaika wengine ma middle man e.t.ctoa upuuzi humu, katafute bank statements zao, na ownership status za mali zao, usilete ushamba humu
sasa unataka kubisha au?Nani kasema mpira unalipa kuliko mziki??
yeye anachanganya, anaona diamond zile drama zake basi anafikiri ana mkwanja kumzidi samata!!.Hujui kitu kuna watu wanacheza China na uarabuni ila wanapesa kushida wanaocheza Epl pia sio kila anayecheza epl atakuwa na pesa
mkuu usiwaone wale akina rick Ross,lil Wayne,DJ jhaled wanavyojikubali ukasema wana hela,wale hawana kitu mkuu ni drama zile..Mbona hujaitaja marekani mkuu,?
Utajiri wa p didy hata forbes wanaujua ......mchezaji yupi wamarekani yupo kwenye list ya forbes,?mkuu usiwaone wale akina rick Ross,lil Wayne,DJ jhaled wanavyojikubali ukasema wana hela,wale hawana kitu mkuu ni drama zile..
Utajiri wote wa ronaldo ni $93m nashangaaMkuu una uhakika hilo Deal la $1b? Utajiri wa Ronaldo hanusi kabisa kwenye $1b
Sasa umeshasema WANAMICHEZO watano; sasa how come tena unatarajia WASANII wawepo kwenye orodha ya wanamichezo?! Au Wasanii nao ni wanamichezo?!Mpira unalipa saaaaaaana ndo maana wanamichezo watano walioingiza pesa nyingi 2016,2017 Hakuna msanii hata mmoja, deal la Nike pekee Rinaldo wanampa $1billion husiche na mpira pyeeeee