Miaka ya nyuma kulikuwa na wanaccm ambao walikuwa na ushawishi mkubwa ndani na nje ya ccm. Walikuwa ni jeshi la mtu mmoja.
Walikuwa wakitishia kuhamia upinzani ccm wanatetemeka. Mfano Lowasa (rip), Sitta (rip), Nchimbi, mzee Malechela n.k.
Lkn zama zao zimekwisha, wamebaki stori tu. Mzee Malechela ni jua la jioni na Nchimbi hana jipya tena. Alipopeelekwa ubalozi kwa miaka kadhaa, nguvu na ushawishi wake vikapotea kabisa.
Kwa hivi sasa kuna mwanaccm gani ambaye anaweza kuitikisa ccm endapo atatishia kuhamia upinzani?