nivizuri kuwahi nyumbani kukaa na familia lakini kuna familia nyingine bwana..mke ni kama kinanda..ukifika tu kinaanza. sasa bura lipi kukaa baa mpka usiku wa manane ukifika amelala na wewe kitandani. asubuhi majogoonajua mnaipenda kazi yenu jamani embu jalini na familia zenu ,,overtime tamu lakini
kuitwa mjomba na watoto zako sio raha kila siku ukija wanakuita mjomba uncle wewe jamani
embu haya mambo tuwahi majumban tukakae nafamilia wapendwa mmmh
angalizo usiwahi kwenye moto najua si kila sehemu ni njiapanda
pls tuwah na vile vifolen vya bongo jamani
mke nae ataka raizoni na mawigi. kamshahara ndo hako..overtime muhimu. wakikua wataacha kukuita mjombaNoted sir, but majukumu bado yamebana. Watoto wanahitaji kwenda shule na kula pia. Siyo kwenda shule tu, bali shule nzuri. Hata kula wanahitaji chakula chenye hadhi na si mradi kushiba!