Kishimbe wa Kishimbe
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 5,566
- 5,477
Baada ya kuibuka Sakata la SATIVA (ambaye huko X anakwenda kwa @Sativa255), nimejikuta napata hamu ya kumjua zaidi muhusika na harakati zake, kikubwa nilichokiona baada ya kutembelea profile yake ya X ni kwamba, Pamoja na posts zake chache kuwa za kisiasa, zisizo na impact ya kuvutia macho ya wasiojulikana, muda mwingi anakuwa akijishugulisha kama 'agent' wa makampuni fulani ya kubeti na anapambana vilivyo kuchafua makampuni aliyojiweka nayo uhasimu, yanayojihusisha na kubeti pia!
Ninachoogopa hapa ni viashiria kuwa 'mafioso' wa Bongo sasa wamekuwa na mkono mrefu unaowahusisha mpaka baadhi ya viongozi wetu wasio waadilifu na baadhi ya askari wetu walio kwenye 'payroll' ya MAFIA wa BONGO!
Wenye muda na mabando naomba mumtembelee @Sativa255 huko X mjionee maisha anayoishi na maadui anaojiundia kila siku!
Soma===>> Alichosimulia Edgar Mwakabela "Sativa" kuhusu waliomteka na kumpiga Risasi ya Kichwa