Hivi scolari aliwaza nini kuchagua brasili mbovu vile 2014

Mshambuliaji alikuwa Fred si ndio,hivi Fred alikuwa club gani mpuuzi sana huyu

Sent using Jamii Forums mobile app
Brazil toka kizazi cha kina Gaucho kilipoisha hawakuwa na talents zingine nzuri hasa eneo la midfield na striking force.

Hata sasa tatizo ni hilo hilo na kibaya zaidi hata zinapoibuka talents ni short lived zinapotea.

Hebu jaribu kuangalia kwenye ligi zote kubwa duniani hakuna mchezaji wa kibrazil aliyeko kwenye top form kwenye maeneo mengine except Allison Becker wengine ni average players.

Hivyo hata 2014 hawakuwa na namna zaidi ya kuchukua hao vilaza wazuri angalau wangeweza kuwafikisha Mahali fulani.

Kweli sijui nini kimewakuta hawa hakuna forward yao inayotisha enzi zile walikuwa na Adriano, De Lima,na kale kajamaa kaliotesa Bayern kilikuwa kanaitwa elber

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom