Kulikuwa na wachezaji gani wengine wazuri zaidi ya wale ?Katika team mbovu kuwahi kutokea ni hii.brasili ya 2014 iliyopigwa saba na Germany walikuwa wanarukaruka tu ..nimeiangalia.upya hii mechi nikastaajabu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuwa kwenye formDah 2010,umenikumbusha niliumia sana gaucho alipoachwa kwenye kikosi
Mshambuliaji alikuwa Fred si ndio,hivi Fred alikuwa club gani mpuuzi sana huyuKatika team mbovu kuwahi kutokea ni hii.brasili ya 2014 iliyopigwa saba na Germany walikuwa wanarukaruka tu ..nimeiangalia.upya hii mechi nikastaajabu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Brazil toka kizazi cha kina Gaucho kilipoisha hawakuwa na talents zingine nzuri hasa eneo la midfield na striking force.Mshambuliaji alikuwa Fred si ndio,hivi Fred alikuwa club gani mpuuzi sana huyu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mshambuliaji alikuwa Fred si ndio,hivi Fred alikuwa club gani mpuuzi sana huyu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana heri wangembembeleza Diego CostaFred alikua ndio top score wa ligi ya Brazil msimu wa nyuma yake. Au kuna striker gani mwengine ulihisi alinyimwa nafasi?
Kweli sijui nini kimewakuta hawa hakuna forward yao inayotisha enzi zile walikuwa na Adriano, De Lima,na kale kajamaa kaliotesa Bayern kilikuwa kanaitwa elberBrazil toka kizazi cha kina Gaucho kilipoisha hawakuwa na talents zingine nzuri hasa eneo la midfield na striking force.
Hata sasa tatizo ni hilo hilo na kibaya zaidi hata zinapoibuka talents ni short lived zinapotea.
Hebu jaribu kuangalia kwenye ligi zote kubwa duniani hakuna mchezaji wa kibrazil aliyeko kwenye top form kwenye maeneo mengine except Allison Becker wengine ni average players.
Hivyo hata 2014 hawakuwa na namna zaidi ya kuchukua hao vilaza wazuri angalau wangeweza kuwafikisha Mahali fulani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Waliishia kumzomea tu jamaa,Sasa hivi Bado hawana forward mkali wanategemea wakata umememkuu ishu ya costa tayari kilishanuka, Brazil wamekua na matatizo kwa miaka mingi sana ya kuwa na upendeleo kwenye kikosi cha timu ya taifa, na mpaka sasa hizo mambo wanaendelea nazo.
Dunga alichukua nafasi baada ya kombe la dunia kuisha na Scolari kujiondoa July 15. Kwa iyo January mpaka July 15 kocha alikuwa Scolari mpaka kombe la dunia wanakula 7. Dunga alianzia July 20 /2014 mpaka 2016.
umechemka mkuu