Hakuna mechi ya hivi karibuni ambayo argentina ameifunga brazil bao 5 tena.Ingia Youtube uangalie yale magoli aliyofungwa Allison ni kama alilewa pombe vile.
Kakurupuka huko baada ya kuzinduka usingiziniHakuna mechi ya hivi karibuni ambayo argentina ameifunga brazil bao 5 tena.
Hizi hapa mechi za argentina na brazil tangu 2015.
Nov 14, 2015
Arg 1 vs Brazil 1
Nov 11, 2016
Arg 0 vs Brazil 3
june 9, 2017.
Arg 1 vs Brazil 0
October 16, 2018
Arg 0 vs Brazil 1
July 3, 2019
Arg 0 vs Brazil 2
Mechi ya Mwisho.
Novemba 15, 2019
Arg 1 vs Brazil 0
Source Brazil Argentina live score, video stream and H2H results - SofaScore
Hiyo mechi ndugu haipo unayodai
Umenikumbusha Fred mkuu baada ya kombe la dunia lile sijawahi msikia mpk leo .
Dah hiyo match ilichezwa ndotoni?Kuna mechi mwaka jana Agentina waliifunga Brazil 5 kwa 1; Allison sijui alikua anafanya makusudi au laa.
Nyie wote mnaobishia haya matokeo siyo wanamichezo na wala mmejikita kwenye mechi za club tu. Goodge. CopaAmerica 2019 - semifinal - Parodia Argentina Vs Brasil ..ili ushuhudie hayo magoli 7 za kipuuzi alizokua anafungwa Backer..
Copa America 2019 Semifinal - Parodia. Argentina 7 x Brasil 1. Angalia hayo magoli urudi uniambieHakuna mechi ya hivi karibuni ambayo argentina ameifunga brazil bao 5 tena.
Hizi hapa mechi za argentina na brazil tangu 2015.
Nov 14, 2015
Arg 1 vs Brazil 1
Nov 11, 2016
Arg 0 vs Brazil 3
june 9, 2017.
Arg 1 vs Brazil 0
October 16, 2018
Arg 0 vs Brazil 1
July 3, 2019
Arg 0 vs Brazil 2
Mechi ya Mwisho.
Novemba 15, 2019
Arg 1 vs Brazil 0
Source Brazil Argentina live score, video stream and H2H results - SofaScore
Hiyo mechi ndugu haipo unayodai
Copa America 2019 Semifinal - Parodia Argentina 7 x Brasil 1 ..angalia magoli aliyofungwa Backer alafu uje useme kama hakulewa pombe kweli.
Unaelewa maana ya parodia? Copa america brazil vs arg matokeo ni 2 bilaCopa America 2019 Semifinal - Parodia. Argentina 7 x Brasil 1. Angalia hayo magoli urudi uniambie
Alitoka bila hata shot on targetHivi alifunga magoli mangapi kwenye michuano ile?
Alexander The Great
Copa America semi final Argentina alikufa 2: 0 wewe uliangalia mechi ipi mkuu ?Copa America 2019 Semifinal - Parodia Argentina 7 x Brasil 1 ..angalia magoli aliyofungwa Backer alafu uje useme kama hakulewa pombe kweli.
Wewe ni mwehu si mzima,hiyo match ni wewe tuu ndio uliitazama?Nyie wote mnaobishia haya matokeo siyo wanamichezo na wala mmejikita kwenye mechi za club tu. Goodge. CopaAmerica 2019 - semifinal - Parodia Argentina Vs Brasil ..ili ushuhudie hayo magoli 7 za kipuuzi alizokua anafungwa Backer..
Mdau mwingine amesema mechi zilizompendeza ndo anasema zimechezwa baina ya hizo timu.
Achana na huyo mwehu,atakuwa alikuwa anacheza play station.Unaelewa maana ya parodia? Copa america brazil vs arg matokeo ni 2 bila
Magoli ya jesua na filmino.
Umeona eeh jamaa anazingua me nimeona mechi zao zote mpaka ile copa AmericaHakuna mechi ya hivi karibuni ambayo argentina ameifunga brazil bao 5 tena.
Hizi hapa mechi za argentina na brazil tangu 2015.
Nov 14, 2015
Arg 1 vs Brazil 1
Nov 11, 2016
Arg 0 vs Brazil 3
june 9, 2017.
Arg 1 vs Brazil 0
October 16, 2018
Arg 0 vs Brazil 1
July 3, 2019
Arg 0 vs Brazil 2
Mechi ya Mwisho.
Novemba 15, 2019
Arg 1 vs Brazil 0
Source Brazil Argentina live score, video stream and H2H results - SofaScore
Hiyo mechi ndugu haipo unayodai
Kwenda huko copa American ilichezwa Brazil Argentina alipigwa tatu nunge mpaka messi wako akawabwatuka Brazil wanabebwaNyie wote mnaobishia haya matokeo siyo wanamichezo na wala mmejikita kwenye mechi za club tu. Goodge. CopaAmerica 2019 - semifinal - Parodia Argentina Vs Brasil ..ili ushuhudie hayo magoli 7 za kipuuzi alizokua anafungwa Backer..
Mdau mwingine amesema mechi zilizompendeza ndo anasema zimechezwa baina ya hizo timu.
[emoji3] [emoji3] Argentina hawa wakumfunga Brazil bao zote hizo wakati Chile huwa wanawapelekesha mpera mpera pamoja na messi wao
Naona hilo pia wamelisahau ile german ilikua nawauaji wakutosha naukizingatia wameingia nakumbukumbu yakulipa kisasi cha mwaka 2002
German ilikuwa kali sana but Brazil ilikuwa mbovu sana.Naona hilo pia wamelisahau ile german ilikua nawauaji wakutosha naukizingatia wameingia nakumbukumbu yakulipa kisasi cha mwaka 2002
Sent using Jamii Forums mobile app
Diego Costa aliisaidia vipi Spain?