Hivi Sera ya Bima ya Afya kwa Wote ni ya CCM au CHADEMA?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Kuna baadhi ya makamanda wameniambia sera ya Bima ya Afya kwa Wote ni ya Chadema na kwamba Hayati Magufuli aliikopa kutoka Ufipa akaitia kwenye Ilani ya uchaguzi ya CCM.

Mimi naamini hii ni sera ya CCM na imekuwepo tangia mzee Wassira akiwa ndiye mratibu wa ilani ya chama.

Wanaojua zaidi naomba maoni yenu ili hatimaye tujue tunaisukumaje serikali ili wananchi wote wapate bima ya afya.

Maendeleo hayana vyama!
 
Reactions: Lee
Bima ya afya kwa wote ni hitaji muhimu. Sidhani kama inatusaidia kujua ni sera ya chama hiki au kile! Tunahitaji hiyo huduma bila kujsli itikadi
 
Sasa kama unajua unaulizia nini? Mnafiq mkubwa wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…