RWANDES
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,788
- 4,401
Vituo vya afya vyote vilivyotajwa vimejengwa na serikali ya awamu ya tano awamu ya sita imejenga vyoo nchi nzima kwa mkopo wa Tsh. trion 1.3 ambazo ni fedha za UVIKO.
Hivi kwanini serikali inatuona wananchi kama hatuna akili? Mikopo mingi mama amechukua lakini hatujaona impact yake pesa kiduchu tu ndiyo zilizosaini mradi wa SGR kipande cha Isaka to Tabora.
Mama tunaomba wasimamie vijana wako wanakukwamisha, wengi wameshaona kama upo kama kivuli.