February Makamba
JF-Expert Member
- Jan 31, 2020
- 2,151
- 2,983
Yahoo!
Imeshathibitika pasi na shaka kuwa huu mtaala wa elimu aliotuachia mkoloni hauna manufaa yoyote kwa mtu mweusi, unazalisha wajinga na waoga na masikini wa fikra.
Ni heri mtu asisome (aishie darasa la 3 tu ajue kusoma na kuandika) kuliko hawa wanaomaliza mpaka degree na wengine masters na wengine maprofessa kabisa lakini ukisikiliza maneno yao/matendo yao utagundua kichwani kuna maharage tu.
Kuliko kuweka michakato (itakayochukua fedha na miaka mingi )ya kutengeneza mtaala mpya ambao utatengenezwa na hawa hawa watu wenye hizi akili za maharage, je kwanini serikali isikopi mtaala wa international na kuuweka kwenye shule zote?
Kuliko kukaa kukariri Vasco da gama alipenda kuvaa nguo gani, kwanini tusiende practical zaidi kama South Korea au China?
Kwanini tusikopi hiyo mitaala?
Na kama mkisema tatizo ni gharama, je hizi hela tunazopoteza kujenga mashule yenye madirisha ya vioo na viyoyozi ili kuendelea kutaga mbumbumbu kwa quantity kubwa ambao kiupeo hawazidiani na std7 failure, kwanini hiyo investment tusiitumie kutengeneza Quality zaidi hata kama tutapata wasomi wachache?
Baada ya kupita sana mitandao na page za kibongo (FB, Insta, JF, twitter Nk.) Na nilipocompare mijadala ya page za wazungu (Quora, Twitter, Youtube nk.) Nimegundua asilimia kubwa ya wabongo wana upeo mdogo sana wa kufikiri.
Yani unaweza kukuta jamaa anajinadi ana degree lakini uwezo wa kujadili hoja anazidiwa na mzungu ambaye aliishia high school tu. Kubishana na wabongo ni frustrating sana maana wengi wana ujuaji mwingi kwenye hamna, Yani mtu hajui na hajui kama hajui na hataki kujua.
Hii mentality ya hivi ndio imetufikisha hapa, miaka 60 ya uhuru bado sehemu kubwa ya nchi hakuna huduma za kibinadamu kama hosputali, maji, umeme nk.