Hivi serikali haiwezi kubadilisha mtaala tukatumia wa Cambridge international?

Kubishana na wabongo ni frustrating sana maana wengi wana ujuaji mwingi kwenye hamna, Yani mtu hajui na hajui kama hajui na hataki kujua.😀
 
KIPARA rudisha umeme haraka
 
Huko Quora ndio nipo kuna raia wanae akili huko hatar
 
Serikali haiwezi kuleta mtaala wa Cambridge kwa sababu ni ya wazungu wenyewe.

Labda mtoa uzi useme kwamba waboreshe mtaala wetu ili wanafunzi wawe good critical thinkers.
Tanzania tunawatu ambao wanaweza toa hoja na kuzimudu vizuri na kutoa kuchallenge kwenye mambo mengi.

Ninaimani wapo baadhi ya walimu ambao wanapenda wanafunzi wawe na uwezo wa kuchanganua mambo na kuleta mabadiliko na kutatua matatizo yetu.
 
Kwani huu mtaala ni wawaafrica si tumeuchukua toka ukoloni ikiwemo na katiba.
Kwanini tusiuchukue huo
 
Kwani huu mtaala ni wawaafrica si tumeuchukua toka ukoloni ikiwemo na katiba.
Kwanini tusiuchukue huo
kwanza nani atafundisha na pili inagharama kubwa sana kiasi kwamba wazazi wengi hawataweza kuwalipia watoto wao ada. Na pia mshahara wa walimu watatoa wapi?
 
kwanza nani atafundisha na pili inagharama kubwa sana kiasi kwamba wazazi wengi hawataweza kuwalipia watoto wao ada. Na pia mshahara wa walimu watatoa wapi?
Walimu wale wale mkuu kinachobadilika ni modality na mindset tafta soft copy ya vitabu vya Cambridge uone gap lililopo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…