Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio serikali inaweza tuuView attachment 1834524
Kwanini hawapimi sasa?Ndio serikali inaweza tuuView attachment 1834524
Ebana kuna nchi ukiangalia unaweza kujiuliza hawa wanatumia nn?Serikali ikiamua inaweza.Tatizo ni kukosekana "MIPANGO YA MUDA MREFU"(Vision)
1. Zimeanzishwa Wilaya bila kuwa na "Master plan",yanayolewa maagizo " ifikapo siku fulani watumishi wote wawe wamehamia karibu na eneo la kazi",huku wakujua hakuna maandalizi ya makazi wa ofisi.
2. Kama nchi mambo madogo tunashindwa kwa kuwaogopa wapiga kura! Maeneo hayapimwi,Lakini tunataka wawekezaji waje kuwekeza.Wizara ya ardhi imejikita kushughulika na migogoro ya ardhi,inayotengenezwa na watumishi wasio waadilifu!
Labda nipendekeze yafuatayo:
1. Upimaji ufanyike kwa 'satellite"
2. Miji ifanyiwe tathimini kwa vigezo vya kuwa na "Master plan"
3. Viongozi wajielekeze kwenye kuzingatia mipango miji,waache siasa katika mambo ya kitaalamu.
Hakuna cha morali ni pesa na amri tuuHiyo hela ya kupima ipo?wanahamisha watumishi kibabe na hawawalipi inategemea Nini?hela hamna na morali ya kazi hakuna,kaeni kwenye maskwata yenu mtulie 😂
Viongozi wa nchi hii wamekulia uswazi kwa hio hawaoni shida watu kuishi hovyo hovyo,sijui hata hizo kodi za jengo na kiwanja watapataje kwa staili hii ya nchi nzima kuwa big slumDodoma karibu sehem zote imepimwa,why? Kwa sehem nyingine? Afu pia kupima mji kabla ya watu ni rahisi kuliko kuja kuanza kulipa lipa fidia
Hivi ikipita kwenye uwanja wako hutolipwa?Ndugu yangu umeongea vyema sana, lakini suala la upimaji inatakiwa lifanyike mapema ili Mwananchi akifika akute sehemu tayari imepimwa. Na ili kuondoa mgogoro wa ardhi inatakiwa serikali ijiondoe kwenye umiliki wa ardhi, ardhi irudishwe kwa raia maana wafanyakazi walio wengi wa serikali hasa idara ya ardhi siyo waminifu, wengi wamejawa na tamaa na rushwa ni kubwa kwao.
Kuna sehemu niliinunua kasehemu nikufuatilia nipimiwe lakini kuna Jamaa mmoja mfuko ulikuwa vizuri yeye kawapa hela wanalazimisha barabara ipitie uwanjani kwangu, badala ya jamaa wa ardhi kuwa washauri wetu jamaa ndie aligeuka kuwa mshauri mkuu wetu tena.
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Mfano mdogo tu hapo Misri wanajenga mji mpya "New Cairo" mji ushapimwa wote na umepangwa wote ndio watu wanaeenda kujenga na kupanga nyumba. Ila barabara tayari, mahospitali mashule n.kKwa sasa inawezekana kwa maenea ambayo bado hayajapimwa...