State Propaganda
JF-Expert Member
- Apr 25, 2024
- 542
- 1,286
Iran
Tovuti kubwa ya habari duniani Reuters imeripoti kuwa "Nchi zinazopatikana katika ghuba ya Uajemi (Persian Ghulf states) zitakazo saidiana na Israel kuishambulia Iran katika visima vyake mafuta (oil facilities) , hazitabaki salama. Iran itajibu mapigo kwa kuangamiza oil facilities zote zilizopo katika mataifa hayo".
Persian Gulf States ni pamoja na Saudi Arabia, Kuwait, Bahrain, Qatar, UAE, Oman.
Kutokana na kauli hizo kinzani na nzito hapo ☝☝juu zilizotolewa na viongozi wa serikali ya Israel na Iran, Je, Tanzania tena kama moja ya nchi maskini duniani, ambayo asilimia 100% ya mafuta yake inanunua kutoka nchi za mashariki ya kati, endapo hawa mahasimu wakaamua kutwangana na kuopelekea kuharibika kwa mnyororo wa ughavi wa mafuta (supply chain disruption)
1) serikali ina alternative strategy ya nchi mbadala wa kununua mafuta?
2) imetenga fungu la ziada kukabiliana na mfumuko wa bei ya bidhaa hiyo?
3) ni mikakati gani imejiwekea kuhakikisha itakabiliana na mfumuko wa bei na anguko la kiuchumi?
3) nk, nk.. (ongezea wewe)
Maswali haya naomba serikali ya ccm ituambie sisi wananchi ili tusije kuja pigwa na kitu kizito utosini kwa mshtukizo.