Hivi serikali imesahau kupandisha madaraja ya walimu au ni kibri?

BINARY NO

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2011
Posts
2,151
Reaction score
2,162
Naomba kuuliza hivi serikali inampango gani na kuwapandisha madaraja walimu kwani ni miaka sasa inakata bado madaraja yame-stagnate palepel....Mfano mwalimu aliepandishwa daraja akaingia D1 miaka zaidi ya mitano na bado salary slip yake ipo D1 hivi apa sheria ya kazi inasemaje maana haki na stahili za mfanyakazi zinafinyangwa kimakusudi....nawakilisha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…