Hivi serikali inaajiri moja kwa moja wenye post graduates?

yenyewe

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2014
Posts
621
Reaction score
94
wasomi wenzangu karibuni mnijuze, hivi serikali inawaajiri moja kwa moja watu wenye postgraduate diploma ya education?
Ni hayo tu. Asanteni.
 
unapataje postgraduate diploma wakati wewe sio graduate? graduate anaajiriwa moja kwa moja, hii ina maana mtu akienda kusoma postgraduate anakua anatokea kazini, sasa hiyo ya kwako ikoje?
 
Mkuu wapo wengine wana shahada ya sociology sasa baade anaamua apige postgraduate ya Education, nadhani ndo hvyo mleta mada anauliza kwa jinsi nilivyomuelewa,
 
haswaa nina maana hiyo.
 
unapataje postgraduate diploma wakati wewe sio graduate? graduate anaajiriwa moja kwa moja, hii ina maana mtu akienda kusoma postgraduate anakua anatokea kazini, sasa hiyo ya kwako ikoje?

kama hujapata kazi, na degree yako si education
 
Wanaajiriwa moja kwa moja kama wahitimu wengine, pia wanalipwa mshahara wa shahada anaeanza kazi.
 
Yes wanaajiliwa moja kwa moja ila wanakua na thaman ya mtu mwenye degree ya education kimalipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…