kichongeochuma
JF-Expert Member
- Jan 21, 2024
- 1,669
- 2,864
Hii nchi imekuwa ya risk sana and no one cares! Watu wanaibiwa fedha, watu wanatapeliwa kila siku , serikali imekalia kutuma meseji "usikubali kutumanfedha kwa namba usiyo ijua" who cares vijijini huko watu hawaelewi chochote,
Kwanini serikali isitafute namna ya kushughulika na hao matapeli, ina maana kwamba serikali imeishiwa mbinu kabisa za kuzuia au kukabiliana na hao matapeli hadi imemua kunyoosha mikono dhidi yao? Hapa serikali na mamlaka za mawasiliano wanahusika kuwalea hawa wezi.