Hakuna anayejali
JF-Expert Member
- Jun 3, 2023
- 418
- 526
Wakulima tunalima kwa tabu, unapofika wakati wa kuuza ni wakati wetu wa kupata faraja. Serikali mkoani Ruvuma ilitangaza kununuwa mahindi sh 800 kwa kg na kutaka wenye mahindi wapeleke.
Tumepeleka mahindi wengine NFRA na wengine CPB (Bodi ya Nafaka)na hawa CPB wakatuahidi ndani ya siku 5 za kazi watakuwa wamelipa lakini ni mwezi sasa unaisha hawajalipa wengine tulipeleka zaidi ya tani 90.
Wamekiuka hata barua yao ya hadi hiyo hapo. Tunaomba kulipwa hela zetu mnaturudidisha nyuma kimaendeleo.