Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Wahuni wameshapiga kopi?Mbona Tayari?
ume relate vizuri bwana mbatizajiNi sawa tu na ukweli kuwa Chaumma ya Mwamba ni Copy ya Chadema
Mabosi wote wa Chaumma Wake zao wanagombea Ubunge CCM kuanzia Tarime hadi Singida πΌ
Exactlyππ¨Kwenye Moja ya maelezo yake kwenye kile alichokuwa anakiita "shule ya uongozi" Balozi Humphrey Polepole aliwahi kusema kuwa wahuni wanaweza kuipiga kopi Serikali.
Hivi Serikali inawezekanaje ikapigwa kopi?
johnthebaptist ana akili ila ndiyo hivyo tena akitumwa anageuka Zombieππππume relate vizuri bwana mbatizaji