Jamani wanajamvi,
Nilikuwa nauliza tu ni lini serikali itatoa ajira za waalimu maanake zile 5000 zimetolewa kwa connection na rushwa nyingi. Lkn tumaini langu ni kuanzishwa kwa somo la historia nina imani wengi tutaajiriwa.
Viongozi wetu waache kutuona sisi kama mazombi, nasi tuna haki ya kuishi kama wenyewe.