Tutaona mengi awamu hii!ety wa2 wanasubilia ajira za awamu ya pili,Kumbe wamagogoni wanapitia mlango wanyuma nakugawiana wiki kadhaa zilizopita, watoto wa mama ntilie na wasaka tonge wenyewe wakisisitizwa kujifukiza na kusubilia ajira.Mungu ibariki Tanzania,Mungu wabariki wasaka tonge wote tuweze kupata izo ajira ,isije kua tunaishi kwa Imani mpaka yesu atakaporudiNilishangaa sana na kusikitika kwa pamoja pale ambapo kasim majaliwa alisema eti zile ajira 5000 zilishatolewa tayari na watu wanaendelea kuripoti.