uzio usio onekana
JF-Expert Member
- Apr 21, 2019
- 836
- 2,658
Hii dunia inamichezo mingi sana lakini serikali.
Ya Lebanon lazima watakuwa wamechoka na tabia za hezbollah na watakuwa wameamua kuwauza Hezbollah kwa Israel kwa sababu haiwezekani ndani ya wiki mbili viongozi wote wa hezbollah wauawawe kama kuku.
Na wakati huo wanasema hezbollah ni jeshi bora kuliko Hamas na wakati huo huo yule kiongozi wa hamas alikuja kuuwawa baada ya karibia miezi 10.