uzio usio onekana
JF-Expert Member
- Apr 21, 2019
- 836
- 2,658
Unesikia wapi mkuu, mbona kelele/Mayoe yashaaanza kusikika?Lebanon kuna Waislam Sunni na Shia hawa kila mmoja anachama chake Sunni ni Tayar Al Mustaqbal na Shia wako Amal na Hezbullah afu kuna wakristo na wao wamegawanyika karibu makundi manne afu kuna Duruz hawa wako wako kama Waislam.
Hezbullah ni wale wako South ya Lebanon waliamua kuanzisha kikosi sababu Israel alikuwa akingia Lebanon anavyo taka tokea Hezbullah kuanzisha kikosi Israel hachezei Lebanon hizo kelele za kuwa Israel anashinda ni nyimbo za kanisani tu.
Hii dunia inamichezo mingi sana lakini serikali.
Ya Lebanon lazima watakuwa wamechoka na tabia za hezbollah na watakuwa wameamua kuwauza Hezbollah kwa Israel kwa sababu haiwezekani ndani ya wiki mbili viongozi wote wa hezbollah wauawawe kama kuku.
Na wakati huo wanasema hezbollah ni jeshi bora kuliko Hamas na wakati huo huo yule kiongozi wa hamas alikuja kuuwawa baada ya karibia miezi 10.
For your information Beirut itakuwa kifusi kama Gaza.Lebanon kuna Waislam Sunni na Shia hawa kila mmoja anachama chake Sunni ni Tayar Al Mustaqbal na Shia wako Amal na Hezbullah afu kuna wakristo na wao wamegawanyika karibu makundi manne afu kuna Duruz hawa wako wako kama Waislam.
Hezbullah ni wale wako South ya Lebanon waliamua kuanzisha kikosi sababu Israel alikuwa akingia Lebanon anavyo taka tokea Hezbullah kuanzisha kikosi Israel hachezei Lebanon hizo kelele za kuwa Israel anashinda ni nyimbo za kanisani tu.
Hezbollah pia ni part ya serikali ya Lebanon na wana wabunge wengi tu, ila hawajasimamisha mgombea wa uraisi.Hii dunia inamichezo mingi sana lakini serikali.
Ya Lebanon lazima watakuwa wamechoka na tabia za hezbollah na watakuwa wameamua kuwauza Hezbollah kwa Israel kwa sababu haiwezekani ndani ya wiki mbili viongozi wote wa hezbollah wauawawe kama kuku.
Na wakati huo wanasema hezbollah ni jeshi bora kuliko Hamas na wakati huo huo yule kiongozi wa hamas alikuja kuuwawa baada ya karibia miezi 10.
Chama cha wakristo kinachopewa support na Israel kina wabunge 4 tu ni kama Unaongelea John cheyo hapa Tanzania. Chama cha wakristo kinachoongoza nchi ni Allies wa Hezbollah. Usifikiri Walebanon ni wajinga, Soma historia yao Israel ashawahi kutawala hapo na Akatolewa kwa nguvu.Ndani ya Lebanon kuna wakristo 33% washia 31% wasun 30 % na wapangni
Wakristo hupewa nafasi ya rais
Wasuni spika
Washia waziri mkuu mtendaji
Miaka 1982 washia walianza kupata sapoti kutoka wa washia wenzao wa iran ambao ni wengi nchini iran karibu 97 % ya wairan ili wajilinde,walianza kama chama cha siasa kisha wakaenda jeshi la kujilinda na kulinda jamii yao dhidi ya jeshi la kitaifa na pia adui yao mkuu Israel.
Kwa miaka 2 sasa wamezuia uchaguzi so hapa napo andika Lebanon haina Rais na ndio jukumu namba moja wa waisraeli wanataka kuhakikisha anapatika rais mkristo kisha kuwafurusha Hezbolah nchini humo wabaki kama chama cha kisiasa na Sia jeshi .
USSR
Hezbollah ndio waliowatoa Israel Lebanon na ndio wanaolinda south Lebanon isivamiwe na Waisrael hadi sasa. So hao unaowaita Wajinga wasingekuwepo kusingekuwa na Lebanon bado ingekua koloni la Israel.Kwa sababu wao wanasema hezbollah ni kikundi cha kijeshi kinacho jitegemea ndani ya
Nchi ya Lebanon. Na hicho kikundi kimeenda kuichokoza Israel na ujinga wa hezbollah umelighalimu taifa zima la Lebanon
HayaLebanon kuna Waislam Sunni na Shia hawa kila mmoja anachama chake Sunni ni Tayar Al Mustaqbal na Shia wako Amal na Hezbullah afu kuna wakristo na wao wamegawanyika karibu makundi manne afu kuna Duruz hawa wako wako kama Waislam.
Hezbullah ni wale wako South ya Lebanon waliamua kuanzisha kikosi sababu Israel alikuwa akingia Lebanon anavyo taka tokea Hezbullah kuanzisha kikosi Israel hachezei Lebanon hizo kelele za kuwa Israel anashinda ni nyimbo za kanisani tu.
Mbona bichwa la habari yako lingine, utumbo wa habari yako mwingine, unachotaka kujuwa ni nini haswa?Hii dunia inamichezo mingi sana lakini serikali.
Ya Lebanon lazima watakuwa wamechoka na tabia za hezbollah na watakuwa wameamua kuwauza Hezbollah kwa Israel kwa sababu haiwezekani ndani ya wiki mbili viongozi wote wa hezbollah wauawawe kama kuku.
Na wakati huo wanasema hezbollah ni jeshi bora kuliko Hamas na wakati huo huo yule kiongozi wa hamas alikuja kuuwawa baada ya karibia miezi 10.
HayaHezbollah ndio waliowatoa Israel Lebanon na ndio wanaolinda south Lebanon isivamiwe na Waisrael hadi sasa. So hao unaowaita Wajinga wasingekuwepo kusingekuwa na Lebanon bado ingekua koloni la Israel.
Tusiache kuwaambia hivi jamaa kama ambavyo ustaadhi Kizute anashauri tuwatetee Hezbollah kwa hali na mali. Nimekufuata private maana naona wenzetu wengine kama wamekata tamaa na kipigo wanachopata Hezbollah.tumebaki mimi na wewe tu kutetea tusiache sheikh wangu. Ingawa hawa mazayuni wanatuumiza sana.maana kila kiongozi akichaguliwa wanamla kichwa . ..inauma sana.Lebanon kuna Waislam Sunni na Shia hawa kila mmoja anachama chake Sunni ni Tayar Al Mustaqbal na Shia wako Amal na Hezbullah afu kuna wakristo na wao wamegawanyika karibu makundi manne afu kuna Duruz hawa wako wako kama Waislam.
Hezbullah ni wale wako South ya Lebanon waliamua kuanzisha kikosi sababu Israel alikuwa akingia Lebanon anavyo taka tokea Hezbullah kuanzisha kikosi Israel hachezei Lebanon hizo kelele za kuwa Israel anashinda ni nyimbo za kanisani tu.
Sijaelewa hichi kinahusiana nini Na nilichoandika, the fact that umeonesha kuna vita ya IDF na Hezbollah South of Lebanon prove my point?Haya
View: https://x.com/Osint613/status/1844392111426371949?t=kioxaSfe2CXtyKgFEEhHUQ&s=19Haya
View: https://x.com/clashreport/status/1844307810860912861?t=kioxaSfe2CXtyKgFEEhHUQ&s=19Haya
View: https://x.com/MOSSADil/status/1843902599503986860?t=kioxaSfe2CXtyKgFEEhHUQ&s=19Haya
View: https://x.com/clashreport/status/1844052395522945295?t=kioxaSfe2CXtyKgFEEhHUQ&s=19
Hesbullah inailinda lebanon mpaka sasa nimeweka vitu hapo kuprove point yako hapoSijaelewa hichi kinahusiana nini Na nilichoandika, the fact that umeonesha kuna vita ya IDF na Hezbollah South of Lebanon prove my point?
Kilianzishwa Mwaka 982 BC or AD?Hezbollah ni chama cha siasa Lebanon na wana viti bungeni.
Labda elewa kuwa Hebollah ilianzishwa mwaka 982 kupamna na serikali ya Israel iliyoivamia na kuikalia Lebanon mwaka 1978 wakishirikiana na Marekani.
Hezbollah iliweza kuwatimuwa wote mazayuni na wamarekani, ndipo kikaheshimika.