kagoshima
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 2,887
- 5,687
Mheahimiwa, inatosha. Utakatisha tamaa wengi. Kawe mshauri, acha chama kipate nguvu mpya. Mie ni mmoja watakao acha rasmi kuunga mkono chadema ukirudi madarakani.
1. Utawapa meno na uthibitisho wanaosema chadema ni mradi wako binafsi,
2. Kuwa kama zito, kaa pembeni uwe mshauri,
3. Waachie damu mpya, TL, John Heche, watafaa zaidi
4. Usiwe kama Putin au kagame
Onyesha mfano wa kuachiana madaraka ndani ya chama, kawe mshauri.
5. Shukrani kwa mchango wako ila aminisha uwepo wa demokrasia kwenye chama chako
Narudia tena ukingangania utaua mvuto wa chama, utatengeneza mfano wa tlp nyingime.