Kagombee wewe mkuu kama unamuonea WIVU mbowe.Mheahimiwa, inatosha. Uyakatisha tamaa wengi. Kawe mshauri, acha chama kipate nguvu mpya. Mie ni mmoja watakao acha rasmi kuunga mkono chadema ukirudi madarakani.
1. Utawapa meno na uthonitisho wanaosema chadema ni mradi wako binafsi,
2. Kuwa kama zito, kaa pembeni uwe mshauri,
3. Waachie damu mpya, TL, John Heche, watafaa zaidi
4. Usiwe kama Putin au kagame
Onyesha mfano wa kuachiana madaraka ndani ya chama, kawe mshauri.
5. Shukrani kwa mchango wako ila aminisha uwepo wa demokrasia kwenye chama chako
Narudia tena ukinhangania utaua mvuto wa chama, utatengeneza mfano wa tlp nyingime.
hapo namba 4 ungewatoa wote umuweke MuseveniMheahimiwa, inatosha. Utakatisha tamaa wengi. Kawe mshauri, acha chama kipate nguvu mpya. Mie ni mmoja watakao acha rasmi kuunga mkono chadema ukirudi madarakani.
1. Utawapa meno na uthibitisho wanaosema chadema ni mradi wako binafsi,
2. Kuwa kama zito, kaa pembeni uwe mshauri,
3. Waachie damu mpya, TL, John Heche, watafaa zaidi
4. Usiwe kama Putin au kagame
Onyesha mfano wa kuachiana madaraka ndani ya chama, kawe mshauri.
5. Shukrani kwa mchango wako ila aminisha uwepo wa demokrasia kwenye chama chako
Narudia tena ukingangania utaua mvuto wa chama, utatengeneza mfano wa tlp nyingime.
Anakosea sana kumfananisha Putin na hizi takataka. Mbowe anatakiwa atoke kwa kuwa imethibitika uwezo wake wa kuongoza umefikia ukomo, na ni kibaraka wa ccm.hapo namba 4 ungewatoa wote umuweke Museveni