Sa mtu kama anapenda, mbona akikosa sex anasema hapendwi!!Sex na Mapenzi ni vitu viwili TOFAUTI.... Yaaani kabisa!
Hivi hizi shule za kata hazifundishi sex education?
ni upendo gan unaouzungumzia????????kama ni upendo wa kamahaba kati ya mwanaume na mwanamke basi sex is part of it...kam ani upendo mwngne lkethe agape love then sex is not
Sex na Mapenzi ni vitu viwili TOFAUTI.... Yaaani kabisa!
hello, Nilijua utachangia hii mada, huwa napenda mawazo yako