Hivi hizi shule za kata hazifundishi sex education?
hawa provide... hebu toa hio education.... lol
Hapo kwenye highlighted nimekubali point nzuri sana....Hata mimi mwenyewe I don't regard my beloved one as a machine for mutual pleasure, there's so much more to it...Nimeuliza swali hili, kuna mwanamme mmoja namfahamu ni mme wa mwanamke ambaye nafanya nae kazi nimemkuta anatafuna mwanamke wa nje ya ndoa nikashangaa....Alipo ona nimeshangaa akasema mke wake wake hampendi eti ana mbani bania kumpa sex, ndo sababu katafuta anaye mpenda...Defination ya jamaa; Yani mke wako asipo kupa sex hata siku moja basi hakupendi na lazima ukapige nje...Kazi kweli kweli :biggrin:Sex ni kitendo, love ni inner feeling. Unaweza kusex na yeyote hata kama humpendi, ili mradi upate unachotaka ndiyo maana machangudoa wanasex na wateja wao, siyo kwa sababu ya love, hapana. Ni kwa sababu ya Pesa.
Love ni kitu tofauti kabisa, unaweza kumpenda mtu bila hata ya kusex naye! Saa nyingine sex haimaanishi love, ila love inaweza kukusababishia sex kwa mpenzi wako.
hawa provide... hebu toa hio education.... lol
Tuanzie hapa. Mwalimu akiwafundisha wanafunzi wake jinzi ya kuvalisha uume kondomu. But nina wasiwasi mkubwa Mods wataondoa hii picha au kupeleka thread jukwaa la kikubwa. LOL.
Mwalimu mbona alikua na haraka saana. Wanafunzi wanajua parts zipi zahusika kuzijua katika tendo lenyew? lol
Walivyo na furaha na concentration watakuwa wanajua tu wasichojua ni namna ya kujilinda...lol
Mwalimu mbona alikua na haraka saana. Wanafunzi wanajua parts zipi zahusika kuzijua katika tendo lenyew? lol
Labda hizo topics wamezishapitia? We raise children with lies for 18+ lies, and then expect them to magically develop responsibility?
Walivyo na furaha na concentration watakuwa wanajua tu wasichojua ni namna ya kujilinda...lol
EMT I don't think parents hua wana aim ku lie... Ni ile tu kua they think watoto wao bado ni kids kujua hasa what all is about.... Only a failure to realise kua wanajua more than wao wazazi waweza imagine. Seen you foot print in my old thread....lol... Ilikupita kumbe?
hahahaha.... Sikuangalia sura zao.... I bet hapo vijana walienda kujaribu kuvaa na wadada wishing they could possess one wajaribu..lol
Hivi dear umewahi ona/tumia condom za kike?
Utafikiri wakishafundishwa wana maamuzi wakati wa tendo lenyewe.....! Elimu inatolewa weeee,mwishoni kama mwanaume hataki basi!Tuna kazi ya ku-empower kina dada zaidi....Kuwafundisha,kuwapa condom na kuzitumia ni vitu vitatu tofauti!Walinganishe hao na hawa. Huyo ni AIDS widow akiwafundisha moja ya njia za kujihadhari na ukimwi. Cheki macho yalivyowatoka.
And that is the problem. Parents view their children as "just kids" and think they "shouldn't be doing it, so they don't need to know it". They tell them how a baby is made, eti anashushwa toka mbinguni. Ndio maana hata inakuwa ngumu kwa mtu kama aliyeanzisha huu uzi kujua tofauti kati ya sex na love. Na hii inatokea sana kwa wasichana kuwa akimpenda mwanaume basi ni lazima afanye nae ngozo. Bila ngono, no love. Of course, wavulana wanaitumia hiyo ignorance kama advantage ya kufanya nao ngono.
Ile thread ndio naiona leo.
Nilishapita kule na kukusoma vizuri dear....kama simuamini mtu yanini kero? si niwe na subira tu...calendar works ukiwa makini..lol
Utafikiri wakishafundishwa wana maamuzi wakati wa tendo lenyewe.....! Elimu inatolewa weeee,mwishoni kama mwanaume hataki basi!Tuna kazi ya ku-empower kina dada zaidi....Kuwafundisha,kuwapa condom na kuzitumia ni vitu vitatu tofauti!