Ukisema watu wa Kawaida unamaanisha nini? Manake mimi navyojua watalii wa ndani kwa ndani (yaani wakenya) wamefika 4 million kwa mwaka, sana sana wale walio Nairobi hua ikifika ijumaa wanahama nairobi na kwenda Kujivinjari Machakos, Nakuru na miji miengine, Wanaamkia Jumamosi huko na hangover, wanatafuta BnB wanakodisha na kulala alafu baadae ikifikaa jioni wanaingia ma club, mikahawa na kuanza tena hadi asubuhi ya jumapili ndo warudi Nairobi kupumzika na kujitayarisha kwenda kazini Juma Tatu...
Tangu SGR ianze kufanya kazi, Hawa jamaa walipata mtindo mpya, siku hizi ukijaribu ku book SGR usitubuthu ku book Fri,Sat,Sun manake itakua nafasi zote zishachukuliwa, jamaa hua wanabook kwenda Mombasa ijumaa au juma mosi kujivinjari , hawa ndo tunawaita "watalii" manake hata kule mombasa sikuhizi wanajulikana mpaka hoteli za Mombasa ziko na bei yao spesheli wanabook hotel kwa masaa kadhaa ya kulala, kula na swiming pool.. Pia hua wanakodisha/rent magari ya watu binafsi kwahivyo wale wenye magari na hawayatumii sana hua wanapata biashara...
-----------
Tourism Cabinet Secretary Najib Balala says the growth was supported by a 9.8 percent growth in total international arrivals which jumped to 1.474 million arrivals compared to 1.342 million arrivals in 2016.
The growth of the sector was supported by the
domestic tourist segment which grew bed nights to 4 million in 2017 from 3.4 million in 2016, with the ministry attributing the growth to increased promotion of domestic tourism by the government.
Tourism sector grows by 20pc in election year to net Sh120b - Capital Business